myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,136
SafiiiiJana nilipata bahati ya kutembelewa na mwanajf mpaka home.....
Ulikuwa mda mzuri na tulipata time ya kushare mambo kadhaa ya namna ya kuukimbia huu umaskini angalau before 35 tuwe na ghorofa kadhaa[emoji3][emoji3](joking)View attachment 2622799
Ongera mkuuUjenzi gani Mkuu....., nilijaribu room kadhaa karibu nife na madeni na kulalia Box maana kila kitu niliuza[emoji28][emoji28][emoji28]
Sema sa hivi nashukuru Mungu napokea text ya bill mwenyewe sio kugongewa na mama mwenye nyumba kunidai bill ambayo sijui imesoma sh ngapi[emoji3][emoji3][emoji28][emoji28][emoji28]
Aisee...wapi hiyoGood afternoon. View attachment 2622646
Why???๐ถโ๐ซ๏ธmbona kama unaninafkia?? ๐
kufanya kazi barabarani??๐ hiyo sentensi ina utata....Why???๐ถโ๐ซ๏ธ
Nimemaanisha tu huwa nalazimika kwenda nje ya nyumba comfort ikizidi.
Bado tunapambana Mkuu........ Hatutafuti utajiri ila tunatafuta kukidhi mahitaji yetu ya msingiOngera mkuu
mshamba_hachekwi Acha kujishtukia ๐ Dr Lizzy kamanisha vingine kabisa. Kwa hiyo tusitaje Barabara kwa vile ndio ofisi yako๐ ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏWhy???๐ถโ๐ซ๏ธ
Nimemaanisha tu huwa nalazimika kwenda nje ya nyumba comfort ikizidi.
Sasa Madam hichi chakula unashiba kweliii[emoji848] au ndo kulinda afya
mimi sina kazi, ni jobless boy ๐mshamba_hachekwi Acha kujishtukia ๐ Dr Lizzy kamanisha vingine kabisa. Kwa hiyo tusitaje Barabara kwa vile ndio ofisi yako๐ ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏ
Kwa mguu?? Umefika wapi tuunganeKwenye safari ya Rondo.....
Mazoea tu kwa upande wangu.kufanya kazi barabarani??๐ hiyo sentensi ina utata....
Bora unisaidie ๐ ๐๐mshamba_hachekwi Acha kujishtukia ๐ Dr Lizzy kamanisha vingine kabisa. Kwa hiyo tusitaje Barabara kwa vile ndio ofisi yako๐ ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏ๐งโ๐ฆฏ
Yeahh. Nimeshiba mpaka usingizi unanitafuta sasa.Sasa Madam hichi chakula unashiba kweliii[emoji848] au ndo kulinda afya
niko nasoma kozi ya computer science.... natamani nije nipate kazi ambayo ni remote, au hata internship..... una recommendation au ushauri wowote labda....๐Mazoea tu kwa upande wangu.
Uzuri kazi zenu nyingi zinafanyika remotely.niko nasoma kozi ya computer science.... natamani nije nipate kazi ambayo ni remote, au hata internship..... una recommendation au ushauri wowote labda....๐
Na uki fail๐niko nasoma kozi ya computer science.... natamani nije nipate kazi ambayo ni remote, au hata internship..... una recommendation au ushauri wowote labda....๐
ntaingia kwenye rap game ๐Na uki fail๐