mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,810
dogo Peterrabbit umeskia?? ๐Mwambie aige mfano wako hapo juu .
Sina tatizo, sasa nicheke kwa shida gani??wewe ni kucheka tu 24/7 [emoji23]
Mbona sijamuona huyu broMwambie aige mfano wako hapo juu .
๐๐๐๐ unipend kabisa wewe mtotoMnatembeaje 40 aisee
Overtake kibus hicho shwaaaa sogea mpk 160. Tukikutana ahera madukani sawa tu
Jamani mimi bado mtoto, dada Tinsley nisamehe bure, bro mshamba_hachekwi niombee kwa dada yangu. Nitafanya hivyo nikiwa mkubwa pls๐dogo Peterrabbit umeskia?? ๐
Afanye hivyodogo Peterrabbit umeskia?? ๐
Scroll hapo juuMbona sijamuona huyu bro
Naona upo kwenye lift, unaelekea wapi?Nataka kuwai show ya mario au ishapita?
Heheee muoga weweJamani mimi bado mtoto, dada Tinsley nisamehe bure, bro mshamba_hachekwi niombee kwa dada yangu. Nitafanya hivyo nikiwa mkubwa pls๐
Nzuri za kwako ??Poa za kwako?๐
Narudi mjini kaka ๐๐Naona upo kwenye lift, unaelekea wapi?
Ile bro Mshamba_hachekwi kama 2pac๐๐ nimeona. Bro nikiwa mkubwa na mimi nitafuga uchebe kama wakoScroll hapo juu
hutaki kuamini kama ni mimi?๐๐Yani huko aliko anapaliwa balaa๐๐
Unatokea wapi?Narudi mjini kaka ๐๐
Hapana siaminihutaki kuamini kama ni mimi?
Tatizo ka umri kangu ๐Heheee muoga wewe
Unadaiwa na nani kwanza
hahah mzee wapiSitaki
Mzee huyo
Na uwalaza wake
unahisi nafananiaje?Hapana siamini