Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,791
- 58,403
Una 19+4=23Nimekupita miaka minne mdogo wangu
Nimekuja kumuona mpwa wa Half american ameniagiza nimwangalie shuleni anaendeleaje huyu mshamba_hachekwi kama anasoma au anakesha jf tuNikipokea kesho nitakujurisha mkuu
dah, basi it was never meant to beπ fursa imenipita....Nimekupita miaka minne mdogo wangu
Huyo mtoto wa 19 year π€π€π€π€π€Nimekuja kumuona mpwa wa Half american ameniagiza nimwangalie shuleni anaendeleaje huyu mshamba_hachekwi kama anasoma au anakesha jf tu
Why?Mbona gafula sana...
Sijapenda na nimeumia kiasi chake..[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
I know you before you ..
kijana mimi nimekukosea nini??πNimekuja kumuona mpwa wa Half american ameniagiza nimwangalie shuleni anaendeleaje huyu mshamba_hachekwi kama anasoma au anakesha jf tu
Ndio mjomba ake Half american analalamika sana hela zake zinapotea bila sababu mtoto asomi anaendeleza mishangaziHuyo mtoto wa 19 year π€π€π€π€π€
Muulize uncle wako Half americankijana mimi nimekukosea nini??π
Hiyo imoj ipunguze ukubwa kidogo π₯Ίπ₯±π₯±π₯±Muwe na ijumaa iliyotukuka
View attachment 2618989
Ntafanya ivyo siku nyingineHiyo imoj ipunguze ukubwa kidogo π₯Ίπ₯±π₯±π₯±
Kweli kweli ndo mana hapendi kuitwa totoo..... π€π€π€π€ Jf huku sio poaNdio mjomba ake Half american analalamika sana hela zake zinapotea bila sababu mtoto asomi anaendeleza mishangazi
Lini hiyo...Ntafanya ivyo siku nyingine
mmenipata boya wenu mnanionea πMuulize uncle wako Half american
Ahahahhaha ngoja nifike shuleni kwao namkabizi mwalimu wake awe anachaoa mpaka kufaKweli kweli ndo mana hapendi kuitwa totoo..... π€π€π€π€ Jf huku sio poa
Sasa si totoo wa selfika kama wanavyosemammenipata boya wenu mnanionea π
Ahahahaha unaonewa au wewe ndio una muonea uncle wako jana kapiga simu analia kisa wewe husomimmenipata boya wenu mnanionea π
Anasema tuna muoneaAhahahhaha ngoja nifike shuleni kwao namkabizi mwalimu wake awe anachaoa mpaka kufa
Una mashavu makubwa lkn π π π π πMuwe na ijumaa iliyotukuka
View attachment 2618989