Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Ngoja nikuletee na mosquito repellent nkamuYaani nimeng'atwa na mmbu sana mama mchungaji ukaniacha kwenye mataa
Nimekesha hapa nasubiri selfie ya mama mchungaji lakini hola...
Na huyu Saint Anne ndiyo kasababisha yote haya
UshapitwaaaaSijamuona. Muite tena
Hiyo itakua ya wote au ya muombaji tuu..??Usijali mdogo angu; ngoja nipangue files hapa
Eti mzee wa Yutong. Unanionea mama Mchungaji. Nilishaachana na hayo mambo sababu ya uzee.Mzee wa Yutong jamani; how have you been? Si ndiyo nimerudi sasa
Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!Mama Mchungaji punguza kutesa watu maana kila mtu analalamika. Jitahidi uselfike ili maisha yaendelee...
Hata mimi naunga tela hapa kuchungulia chungulia kama utaachia kitu. Nitakuwa hapa kwa nusu saa ijayo.
Tuonee huruma mama Mchungaji [emoji1545][emoji16][emoji16]
Ntampata jioni huyo. Lete yakwako hapaUshapitwaaaa
Ya woteeeHiyo itakua ya wote au ya muombaji tuu..??
Mvumilivu hula mbivu MtumishiEti mzee wa Yutong. Unanionea mama Mchungaji. Nilishaachana na hayo mambo sababu ya uzee.
Unaselfika au nijiondokee zangu tu kinyonge? Maana watu wamepambana sana mpaka wengine wanasema wamekesha hapa wakisubiria π
Hana namna.Nakaziaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!
Muda mrefu sana umepita tumemiss kumuona mama pastaa !!
Uzito mimi nautoa wapi ndugu yangu?Nasubiri na mi nione
Mr vocha ,mtu mzitooo
Sawa Mama Mchungaji.Mvumilivu hula mbivu Mtumishi
Okay waitingUsijali mdogo angu; ngoja nipangue files hapa
Kweli niko huku kweli mama mchungajiNgoja nikuletee na mosquito repellent nkamu
Nkamu hayo maeneo mbona yapo salama sana? Mbu hawezi kukung'ataKweli niko huku kweli mama mchungaji
Jana umeninyanyasa sana
Nimeng'atwa na mbu sana jana huwezi aminiNkamu hayo maeneo mbona yapo salama sana? Mbu hawezi kukung'ata
Nkamu hayo maeneo mbona yapo salama sana? Mbu hawezi kukung'ata
Aseme tu kama amegoma tukatafute ugali tupoze machungu wallahMama Mchungaji unaselfika huselfiki?
Yaani hata huoni tunavyopambana jamani?
Hebu kama mzizi wa fitina ili wengine tuondoke hapa aisee ππΏ
Kabisaa yaani maana this is just too much πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈAseme tu kama amegoma tukatafute ugali tupoze machungu wallah
Boss wangu, hii ni burn umenipiga...
Tafadhali usiniadhibu hivi
Nitatupia hapa mfululizo na nitakutag