Nilishasoma na mama anatukulia class 20 years, She had already experienced a full life, alikuwa ana watoto wanatuzidi, sasa nitakupa story ilikuaje akarudi shule na huo umri, ilinifunza kitu kwamba kwenye maisha its not too late to become unachotaka. Ni miaka imepita sasa, aligraduate na alikuwa moja wanafunzi waliofanya vizuri sana. Alituma barua kumualika ex husband wake kwenye graduation yake na juu ya envelope aliandika f__ck you, nitakupa kisa ilikuaje.