mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,810
selfika kwanza.... πnataka nione buzz cut yakoπ
ππmwanaume!!!
weweee acha nile bata π afazali mimi sishindii tambi kama mnyonya lipsπππmwanaume!!!
ππππ bas nitahamia goba soonTulioikuza Sinza ndo tumehamia huku tumeamua kuwaachia fujo huko
πUmeniangusha sana.hadi wewe unaniponda kaka π
mara mojamoja bro tunasuuza koo ππUmeniangusha sana.
Unafeli sana
ah wapi, mara mojamoja sio mbaya πUnafeli sana
Nilijua tu, niwekee kipande nakuja kukifataselfika kwanza.... [emoji23]nataka nione buzz cut yako[emoji23]
Kama ni hivyo sawa.πmara mojamoja bro tunasuuza koo π
hata wewe bro najua unahusika na hivi vitu πKama ni hivyo sawa.π
purizzz weka picha, purizzzz π
Uje unielekeze anapoishi rafiki yako.Unafeli sana
Hapa kama ni posta karibu na ubalozi wa Germany au hapa ni ubalozi wa ujerumaniπView attachment 2613275Happy Sunday to y'all πβ€οΈ
Ndio, si mbaguzi wa chakula, nimeonja vyakula vya aina nyingi, Vietnamese misosi yao hapana, wanakula dogii, kuna butcher za dogii.hata wewe bro najua unahusika na hivi vitu π
Mtoto mzuri mambo?