Mhuuu.....Dada samahani naomba nikuulize, samahani lakini..
hii kitu niπ₯π₯
Ah, swali lishanipotea, ngoja nikikumbuka, by the way unavutia sana.Mhuuu.....
Kuna ile stage ya kuanza kutoa siri zako umeiruka mkuu
hiyo iko sambamba na stage ya kumfukuza boss kazi πKuna ile stage ya kuanza kutoa siri zako umeiruka mkuu
Hatari sana.hiyo iko sambamba na stage ya kumfukuza boss kazi π
Dada habari?View attachment 2613275Happy Sunday to y'all πβ€οΈ
Salama, za kwako?Dada habari?
Mie mzima, nimekuona umesimama hapa nyuma ya gari hii premio, nikaona nisogeze miguu nikupe 'hi', naitwa Post M-alone sijui mwenzangu unaitwa nani?Salama, za kwako?
Hahaha kijana unajifunza kutupia vocal hahaMie mzima, nimekuona umesimama hapa nyuma ya gari hii premio, nikaona nisogeze miguu nikupe 'hi', naitwa Post M-alone sijui mwenzangu unaitwa nani?
Namtania tuπHahaha kijana unajifunza kutupia vocal haha
By the way umependeza sana, salute.Salama, za kwako?
Amani tu mwambaNamtania tu[emoji38]
Shangazi hilo π€π€π€
Hebu niache huko, muone πππππAntonnia aunt umepoa sana nakusabahi huko uliko ππππππ
Pamoja na Bantu Lady mmetusahau kabisa humu πππ.
Kuna uzima kweli
Nimetingwaaa na weekend auntie π!Antonnia aunt umepoa sana nakusabahi huko uliko ππππππ
Pamoja na Bantu Lady mmetusahau kabisa humu πππ.
Kuna uzima kweli