Which JD bananiko mwenyewe 😂 jeshi la mtu mmoja..... achana na JD kabisa....😂
Sio bwana
sour mash whiskeyWhich JD bana
Pole aise jana nilichelewa kulala nimeamka kumi na mbili nusu bado sijafanya zamu ya usafi wala chochote nimerashia ili niwah .acha tu brother jana nilikua mahala pabaya sana nikachelewa kulala
Hujambo....greeting from this sideSio bwana
na wewe ulikua unaruka majoka?? 😂Pole aise jana nilichelewa kulala nimeamka kumi na nusu bado sijafanya zamu ya usafi wala chochote nimerashia ili niwah Mshamba _hachekwi
Hapana aisee , nilikuwa napiga stori na mshikaji wangu , kushtuka saa sita hyo nipo njena wewe ulikua unaruka majoka??
kanisani ingetakiwa iwe jtano 😂 jumapili jau, watu wameamka vibaya shoo za jmosi😂Hapana aisee , nilikuwa napiga stori na mshikaji wangu , kushtuka saa sita hyo nipo nje
Hehehe ni kuwahi tu , kuamka hakuna namna , na kaubaridi hvi basi usingizi ndo mtamu .kanisani ingetakiwa iwe jtano
mi nikichelewa kidogo naskip tu 😂Hehehe ni kuwahi tu , kuamka hakuna namna , na kaubaridi hvi basi usingizi ndo mtamu .
Jitahidi uwah tena uwah kabisa pale wakati wa Praisemi nikichelewa kidogo naskip tu
Kazi kwelikweli mkuuJitahidi uwah tena uwah kabisa pale wakati wa Praise
kusema kweli hivi karibuni nimekua nikikwepa mambo ya dini.....Pole , maisha haya yanatutenga na kanisa , lakini tusikate tamaa .Tumwangilie Yesu kristo kama tumaini letu hakika tutashinda .Kazi kwelikweli mkuukusema kweli hivi karibuni nimekua nikikwepa mambo ya dini.....
Mimi mwenyewe wa hivyo tu , sema ni kumuomba roho mtakatifu atuongoze , katika siku hizi za mwisho tunahitaji kusal i ili kupambana na adui .Kazi kwelikweli mkuukusema kweli hivi karibuni nimekua nikikwepa mambo ya dini.....
napoteza imani, huu ujobless wangu hata nikisali sioni mabadiliko 😂Mimi mwenyewe wa hivyo tu , sema ni kumuomba roho mtakatifu atuongoze , katika siku hizi za mwisho tunahitaji kusal i ili kupambana na adui .
I understand what you are feeling , ts heartbreaking and dissapointing too , but i urge you never to loose hope in Jesus . Cast you cares upon him for he cares for you . Whatever situation you are facing right now , just believe that , Jesus is bigger than any problem you are facing right now .napoteza imani, huu ujobless wangu hata nikisali sioni mabadiliko
sasa pesa nitapata lini?? 😫I understand what you are feeling , ts heartbreaking and dissapointing too , but i urge you never to loose hope in Jesus . Cast you cares upon him for he cares for you . Whatever situation you are facing right now , just believe that , Jesus is bigger than any problem you are facing right now .
I understand what you are feeling , ts heartbreaking and dissapointing too , but i urge you never to loose hope in Jesus . Cast you cares upon him for he cares for you . Whatever situation you are facing right now , just believe that , Jesus is bigger than any problem you are facing right now .



#jobuless boyz 😂