Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Natafuta nguvu za 14Kisimu cha kutop up
Battery life 68 ndio unatufokea hivyo?
ππΎππΎ@Dr lizy
#airtel# nyingine hiyo
Chips kavu, juu zina salad
Ushalewa wewe kalale
ππ natak nichek move netflix tu kwa bando la msaadaWakishua gani huna vocha mpk ulilie za majirani?
sawa dogo π na mi ntapata tu....Alikuja nayo tuka ue
Upoje π€£π€£π€£Nipo karibu na kitanda hata hivyo.
Sijaona salad. Naona kabichi lililowekwa tomato nyingii
ππ natak nichek move netflix tu kwa bando la msaada
Uje darasani tujifunze wote π€Nilihisi
Lakini Sasa
Kingereza hadi ukisomee
Lile neno chop nililielewa
Nalisikiaga sana kwenye matangazo
Ya mpira[emoji1787]
unasemaje mama siku moja twende njiro complex πWakishua wenzako wameenda Movie Theater huko
ππUpoje π€£π€£π€£
Umepata au usingizi umekuzidi nguvu wajanja wamewahi?ππΎππΎ
Pamefubaaunasemaje mama siku moja twende njiro complex π
Kiukweli nimepata japo nilikuwa nachelewa kuona.π First-timer luck I guess!βΊοΈUmepata au usingizi umekuzidi nguvu wajanja wamewahi?
haya, pizza hut??Pamefubaa
Siku hizi tunaenda AIM mall huko.
Njiro Complex nafata tu wale wahindi wa msosi
Akafe mbele tuBudget yake inaweza kuwa ya π² π
Li zuriSahani nyeupe ina mayai
Twendeeehaya, pizza hut??
πππ kiko wapi?
naumwa tumbo?? tunapiga extra large sisi wawili π bills on you.....Twendeee
Si unakula pizza? Au utaumwa tumbo View attachment 2612597