Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,901
Kakaake
Wakishua
Mwanaume gani anakula pizzaTwendeee
Si unakula pizza? Au utaumwa tumbo View attachment 2612597
Kila alhamis kuna offer 😋Get ready.
The Oak 🍕
Pizza hut tuongee na Lenie atupe ratiba ya siku ya offa 😂😂😂
View attachment 2612602
😂😂😂😂😂😂😂 umekunywa vitoko nn
Uko dhaifu kiasi hiko? Utakua mwanaume wa Kinondoni wewe
😂😂😂 nitajaribu delivery yao.Kila alhamis kuna offer 😋
Mtoto mdogo, kadandia show za wazeeUko dhaifu kiasi hiko? Utakua mwanaume wa Kinondoni wewe
Please do😋😂😂😂 nitajaribu delivery yao.
Ila kujitoa huku kwenda mjini siwezi
Na huyo aliyeandika ni weweivi mwanaume akiandika status kuwe ni mwanaumee expensive huyu atakuwa mwanaume kweli?
Nikikumbuka 😂😂Please do😋
Delivery wanafanya
Nitakukumbusha usihofu😂Nikikumbuka 😂😂
😂😂 na mvua isiponyeshaNitakukumbusha usihofu😂
Siwezi andika upumbavu kama uhoNa huyo aliyeandika ni wewe