Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weeeee hayo mambo wanapenda walio wengii Ndiomana hata anaependa kimbaumbau Mbantu ukipita na mshepu wako rangi mashallah lazima ageuze shingoo weeeehhh 😂😂!


Mi Kamera tyuu Hii dear Sina hata hii shepuu niwe nayo nitambee!;

Hebuu rudia ya juzikati hapa ulitupia nilipitwa nilikuta nyoyaaa tyuuna sifa kama zoutreeee!! Do the needful nirare vizuree pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!😌
Ukila nyama wanasema kula iliyonona 😜😜😜😜
Weee mtoto ni mzuri na una shepu nzuri. Mashallah
Naona uvivu kupekuwa picha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ilikupita ulikuwa wapi tena umekuwa coca? 😄😄😄😄
 
Uthithema na konda nafanya masoesi thatha napungua Mjep nime thelefika
 

Attachments

  • F3AAFB9F-5D07-4ECF-A6A2-FDEFBDA0125C.jpeg
    F3AAFB9F-5D07-4ECF-A6A2-FDEFBDA0125C.jpeg
    1.2 MB · Views: 5
Ukila nyama wanasema kula iliyonona 😜😜😜😜
Weee mtoto ni mzuri na una shepu nzuri. Mashallah
Naona uvivu kupekuwa picha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ilikupita ulikuwa wapi tena umekuwa coca? 😄😄😄😄
Hata roho yanguu ya kizunguuu mbonaa 😁😂! Sijui hata nilipitwa nilikua naswampia wapii walai nilishangaa narudi nakuta unyoyaa Jamani irudiweee irudiweee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!
 
Back
Top Bottom