Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,464
- 95,978
nafurahi kama umezipata,sasa walau week end itakua nzuriHello mtu chake salamu nimezipata. Habari za weekend...
Fanya hivo deaaa!Ooh Sina mpya dear ngoja nikuchekie
Acha tamaaNa ni rembo haswaaa
Tayar kipenzFanya hivo deaaa!
Iiiiiiiiigggggggweeeeeehhhh ๐๐๐!
Nimeona mamy Umependeza mamaa mwenye lipsssss zake mujiniii!!๐Tayar kipenz
๐๐๐Asante dear nikitulia badae unibless mambo ya mei mosiIiiiiiiiigggggggweeeeeehhhh ๐๐๐!
Asante kipenzeee Umependezaajee!!!
Hakii mwanamke staraah๐๐๐!
Wabheja sana hakika Jioni yangu inaenda kuwa barreeeeeeeeddaaa kabesaaa!!
Nilijitoa out ๐๐nikatupia sitaki mchezo ๐๐๐Nimeona mamy Umependeza mamaa mwenye lipsssss zake mujiniii!!๐
eehNa ni rembo haswaaa
๐คฃ๐คฃ๐๐!Likizo Iko around wapi sasa@Antonnia
Ooh sawa hongera dear utanipitia Njombe twende Mbeya๐๐คฃ๐คฃ๐๐!
Awamu hii kam kauwaaa tutakutana Dom/ Singinda tusalimiane kipenziii!!
Hii likizo nina route kama zotreee!!
Dar Moro then Mbeya au ntaanza kinyume cha hapo!
Kwakweli we live once raha jipe mwenyewe!!๐๐๐
Lol hivi Juzi sikukutumia ehh! Usijareee kabesaaa wewe treinaaahhhh!!! Sema kinginee๐๐๐๐Asante dear nikitulia badae unibless mambo ya mei mosi
Nipunguzie mb
๐๐Nilipungua sana kwaaajili ya ramadhani sijanenepa Bado lkn naona nitapasuka siku si nying maana nakula balaa nangoja likizo nokafakamie ice cream ndo ugonjwa wangu๐๐Kwakweli we live once raha jipe mwenyewe!!๐๐๐
Umefika kilo ngapi Saivi sio kwa masontojo hayooo๐๐๐๐
njoo tuselfike mtoto mzuri PalinaAah hii njia way back huko kidogo i lock sim card yangu ๐๐๐
mshamba_hachekwi changamkia fursq kipenzi ๐๐๐
Nilitoka online kidogo sikuonaLol hivi Juzi sikukutumia ehh! Usijareee kabesaaa wewe treinaaahhhh!!! Sema kinginee๐