Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,407
Ahahahaha pesa ninazo za shemeji bhna hazigai ππ€Haya mdogo wangu usikonde nilikuwa najaribu nikuone kupendeza unapendeza sasa tafuta hela ung'oe hizi pisi za jf π€π
Saivi limekua kua ujueπShangazi mtu π€£π€£
Siku ukiwa na afro kubwa kama hilo nakupeleka saloon bill kwangu
WatammalizaπNa hana maisha
Weee kumbe ni tall, dark handsome π
Unatafuta matatizo kijanaNdio kaka mkubwa
Hizo za shemeji anazila dada yako na wewe unataka ule za shemeji πππAhahahaha pesa ninazo za shemeji bhna hazigai ππ€
Itakua anadanganyana na watoto wenzake wanapokua wanabet hukoπMwambie atuambie vizuri nani alimwambia huku sisi ni wazee ili hali hatujui πππ
we si ulimganda Analyse πWeee kumbe ni tall, dark handsome π
Mbona hukusemaga π
Mimi mstaafu unajua nisije waharibia vijana jukwaa lenu πNdio nimekuja hivyo. Iweke
Ahahahaah matatizo yapo tangu mda bhnaUnatafuta matatizo kijana
Umeiba picha ya naniAhahah hii kitu kiache
Shauri yake, atajua hajuiWatammalizaπ
Ahahah sasa shemeji anakula kupitia mgongo wa dada yangu iyo imekaajeππ€Hizo za shemeji anazila dada yako na wewe unataka ule za shemeji πππ
Uko insta mkuuUmeiba picha ya nani
Ebu tuone?Saivi limekua kua ujueπ
Nitakutumia picha uone
Andaa hela ya saloon
Mimi mstaafu unajua nisije waharibia vijana jukwaa lenu π
najua unajuta sana π nakupa last chance....π€£π€£π€£
Nafata wazee wenzangu
Weka pic full kijanaAhahah hii kitu kiache
Limekua kua. Kumbe halijakuwa πππSaivi limekua kua ujueπ
Nitakutumia picha uone
Andaa hela ya saloon