Selfika na JF: Snap it. Show it

Ulikuwa kichwani mwangu. Naomba leo wewe Jadda uselfike ili furaha yangu ikamilike. Please, leo zamu yako mamii
Aahh mimi siwezi kuselfika maana timu yangu ilitoa boko jana hivyo sina furaha, ila kama ikichukua ubingwa wa ligi nitaselfika hilo naahidi, na uje unikumbushe hii ahadi yangu [emoji16][emoji16]
 
Mimi Nimeshakuahidi [emoji4][emoji4]
 
Aahh mimi siwezi kuselfika maana timu yangu ilitoa boko jana hivyo sina furaha, ila kama ikichukua ubingwa wa ligi nitaselfika hilo naahidi, na uje unikumbushe hii ahadi yangu [emoji16][emoji16]
Dah

Karoho Kabaya haka....

Usijali mama Ile Azam confederation cup ni yetu.

Weka kumbukumbu hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…