Salama tu , maisha yanasemajeMimi mzima Mamy
Za wewe?
View attachment 2606015
Life is Guuudah[emoji3590][emoji3590][emoji91][emoji91][emoji91][emoji441][emoji441][emoji443][emoji443]
InasemajeHamsikiii baridi
Wameziba masikioHamsikiii baridi
Mfanyie wepesi aende hata pale beach Kidimbwi tu π€ͺπ π basi asubiri amalize chuo kwanza mabata yapo tu
Kijana angalia, ukijichanganya kwa wajukuu zangu lazima nikuoze kwa nguvu π€[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unaonja alafu mchana unakula ugali wako mzito!! Jaribu kama National Anthem πTuliozoea kula ugali asubuhi badala ya Chai hapa tunaona ni kama kuonja tu π
Kuna mambo yanahitaji majaribio lakini sio kwenye kula π€ͺUnaonja alafu mchana unakula ugali wako mzito!! Jaribu kama National Anthem π
Hata haishtui mashindano yenyewe ni ya waliofeli klabu bingwaWewe jinyonge tu na kombe tunachukua
Upaja huo na kile kikuku πππ
Maneno ya mkosajiiiiiπ€π€π€π€π€π€!!Hata haishtui mashindano yenyewe ni ya waliofeli klabu bingwa
Na hii hatua mliyofikia ndo mwisho wenu mnatolewa niko pale nimekaaManeno ya mkosajiiiiiπ€π€π€π€π€π€!!
Mchawi sio lazima arogeee πΊπΊ!Na hii hatua mliyofikia ndo mwisho wenu mnatolewa niko pale nimekaa