Selfika na JF: Snap it. Show it

Tafadhali msiingilie majukumu yetu Wanaume, kwani wakati Mungu anatupa agizo la kuwahudumia Wanawake pale Edeni hukusikia Mjukuu?

Hela ya Mwanaume ni ya Mwanamke, na hela ya Mwanamke ni ya Mwanamke [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ongeza sautiiiiiii.
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ enzi hizo Nilipitapitaga madrasa kidogo mnywanii!! Najua hadi zilee Alif bee tee thee jim twe zee kaf kiaf lam mim nun asalam alif alif amza yee wasalam ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜
Haahaha
Nakubali! Kama ulimeza vitu vizito hivi na kumbu kumbu bado ipo ndomana chemia haikuchomoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ