Kwakweli Bora upike na kaugali vile vimkate hapanaπππKitafunwa sindo hicho kwenye bakuli...πππ
Kama vipi utafidia kwenye supper π½
View attachment 2603824
Habari yako ?hahahahaha
salama kabisa,pale mtaani kwako umehama? Nimepita mchana haupoHabari yako ?
Nipo aisee , nimehamia upande wa pili wa barabara . Ungenipigia tu rafiki .salama kabisa,pale mtaani kwako umehama? Nimepita mchana haupo
duh,nilipoteza simu na namba,labda unichekNipo aisee , nimehamia upande wa pili wa barabara . Ungenipigia tu rafiki .
Oh pole , next time usave kwa googleduh,nilipoteza simu na namba,labda unichek
Shikamoo boss ladyEvening selfika!β
Shika mwenyewe mr vouchaaa unataka uninyime kitruu sio bureeπ!Shikamoo boss lady
Umem mimba?Mwakani nisipo kuwa baba mniite mbwa
Yolly yolly [emoji8][emoji8]
Utualike kwa baby shower .Mwakani nisipo kuwa baba mniite mbwa
Yolly yolly [emoji8][emoji8]
Jambo la kheri tuijaze dunia mkuuMwakani nisipo kuwa baba mniite mbwa
Yolly yolly [emoji8][emoji8]
Ni yuleyule Dr Lizzy πKitafunwa sindo hicho kwenye bakuli...πππ
Kama vipi utafidia kwenye supper π½
View attachment 2603824
Utualike kwa baby shower .
Jambo la kheri tuijaze dunia mkuu