Huwa napenda sn iyo,Inakuwaje jamana mtu umekaa zako af unasikia jirani zako wanakusengenya wakijua kwamba wewe husikii
Mimi nataka nimwambie af anakuja kujichekesha kwangu ili iwejeInakera sana , mie sipendi unaaa kweli
Mi napenda Sana,Inakera sana , mie sipendi unaaa kweli
Ni wivu unawasumbua mimi ijui kujibizana jamani sipendi kelele basi tuHuwa napenda sn iyo,
Wachawi wako unawajua mapema
Unajipanga vzur jins ya kukabiriana nao[emoji4]
You can't be serious, filter gani iyo[emoji1]Ni filter tu 🫣
Wabongo ndo walivyo,wavumilie[emoji4]Ni wivu unawasumbua mimi ijui kujibizana jamani sipendi kelele basi tu
Ni ya kulipia 🙂You can't be serious, filter gani iyo[emoji1]
yeah sio nzuri kwa kwel , niliitamani sana beforeKweli kabisa,
Four cousin nayo sikuielewa
Baada ya kunywa nahs kiu balaa[emoji4]
Aisee..chungu sana , nilionja four cousins aisee koo ilikauka .
Hujambo jirani, nawe pia..
Niko poa sana jirani za kutususa!!Hujambo jirani, nawe pia..
Nipo jirani, msimu wa shambani huu..Niko poa sana jirani za kutususa!!
Ahaa kumbe!!Nipo jirani, msimu wa shambani huu..
Salaaam jirani!! Hivi wee ndio ulidindaga mazima kutupia blessings zako humu eeh??Salam kwenu wote..
MhHumu ndani hivi muda sahihi wa kufanya blessings kwetu wadau mtu wa mwisho kujibu hivi anavocha yake mwisho saa3 na nusu usiku huu
Do the needful utubarimi mkuu kitrambo sanaaa humuu tulikumissijeeeee!!!Humu ndani hivi muda sahihi wa kufanya blessings kwetu wadau mtu wa mwisho kujibu hivi anavocha yake mwisho saa3 na nusu usiku huu
Si ujibu tu