π€£π€£ππππ!Eid ilipita km hainijui vileee,
Wee nilaumu kwa pasaka, ila Eid utanionea.
Duuh...haya π π π
Unataka kuhama nchi?Nyie Waja, mtume baadae selfie zenuu, now niko na heka heka, kufuatilia passports.
Baadae!!
Nuzulati nna swali kwako[emoji4][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
Wee mwanamke umeadimika balaa[emoji4][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098][emoji2098]
Nasubiri tuswali mkuuππΌββοΈ
Walaa nafuatilia tyuuh.Unataka kuhama nchi?
Nipo mkuu π
Kwa kweliii.[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!
Irudiweee irudiweee Nuzuuuuu!!πππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈ
Kitambo sijaona umbo la kibantuπIrudiweee irudiweee Nuzuuuuu!!π
Mi na ww tuna ugomvi?Nasubiri tuswali mkuu[emoji2312]
Imebidi nicheke huku nilipo sikumbuki kama tumewahi kugombana kwa nini umeuliza hivyo baba J
Umenigeuzia kibaoo tenaaπππ! Mie natupia kila leo mbonaaa labda utakua unapishana nazoo!Kitambo sijaona umbo la kibantuπ
Wee sio wa kuninyima mm pilau la iddy[emoji26]Imebidi nicheke huku nilipo sikumbuki kama tumewahi kugombana kwa nini umeuliza hivyo baba J
Nimekuwa mvivu siku hizi kutembelea uzi mzuri kama huuπUmigeuzia kibaoo tenaaπππ! Mie natupia kila leo mbonaaa labda utakua unapishana nazoo!
Nina jipya basi sinaaaa hata jipyaa kipenziii!!Nimekuwa mvivu siku hizi kutembelea uzi mzuri kama huuπ
Dah! Sijawai bahatika kuiona picha ako ata moja humu selfika Antonnia [emoji848]Umigeuzia kibaoo tenaa[emoji4][emoji4][emoji4]! Mie natupia kila leo mbonaaa labda utakua unapishana nazoo!