Habari ya asubuhi
Wenzio wapo ibadani
Wewe unajizungusha tu
Asubuhi hujapewa[emoji848]
Wanaume kusaidianaNimepewa viazi viwili na uji wa muhogo
Wewe na mimi tuendelee kulanda landa tu mzee wa Tunduma
Una undugu nae[emoji848]Nipo mdogo wangu
Shikamo kaka , hamjambo huko ?Nipo mdogo wangu
Mdogo wangu kabisa huyuUna undugu nae[emoji848]
Nimezooo nisome kale kakaratasiEid 2 Mubarak π«View attachment 2597014
Karibu. Enjoyin coffee + free WiFiNimezooo nisome kale kakaratasi
But where...!?
Enjoy your Eid
Probably
Naomba coordinateKaribu. Enjoyin coffee + free WiFi
Hapo umeniachaProbably
SelfikaHapo umeniacha
πππ nakosaje kwenye vitu vizuri hivyo
Mawazo mpe hii.. nimefichwa hukuMwenyeji wangu upo wapi nipo mtaani kwako hapa! Imekuwa mda kiasi mitaa hii National Anthem
Nipo na mwanao sana Mr mawazo!
ππππ huwa huna ubishi kabisaaNational Anthem nimeshatoa ad πView attachment 2596250