Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,428
- 95,911
Nitake ladhi mkuu
Mimi nitaanzia wapi??
Iyo hela bora unipe mimi nikushikie babuView attachment 2595084
Hata kama Elimu haina mwisho, na Uzee huu kweli Kitabu kitapanda au hela yangu ya Ada ninunue Mbolea nijikite na Kilimo tu ๐ค ๐
Hello Friday ๐ฅ
Kwa kasi ya jethahahaha,atakuja?
Kuku wangu
Hongera BabuView attachment 2595084
Hata kama Elimu haina mwisho, na Uzee huu kweli Kitabu kitapanda au hela yangu ya Ada ninunue Mbolea nijikite na Kilimo tu ๐ค ๐
Hello Friday ๐ฅ
๐๐๐๐๐Nakutumia tu dollar, hiyo ads uifute ๐๐
Uko tayari???NIpitie twende wote..๐
Nakusubiri wewe tu๐Uko tayari???
Ayyyt....nafika soon. Usisahau wallet ๐Nakusubiri wewe tu๐
Wallet ipo full๐Ayyyt....nafika soon. Usisahau wallet ๐
๐๐Sina mbamba mbaLi mshangazi
La ukweli na uhakika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utulie tulee mume,Hongera Babu
Mm najiona shule sitoboi na umri huu sijui ndo sinaakili [emoji3][emoji3][emoji3]
Sijaona mke mwenzaaa, puliiiz rudiaaa[emoji3][emoji3]Sina mbamba mba