Selfika na JF: Snap it. Show it

Ukiselfika usisahau kunitag
Ukimuona mrembo Alayna mwambie akila pilau la Idd peke yake litamkwama asibanie huo mwaliko
Nimejaribu kuimagine ninavyo kabwa na pilau huo muda😆😀😀


Nasubiri muliko kutoka kwako na Carrasco lakini mpaka sasa wapii sijaona

Kaka yangu National Anthem
Nae yupo kimya au bado mpo kwenye mfungo 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…