Selfika na JF: Snap it. Show it

Msaidie dogo aache kulala lala sitting room na kuangalia katuni na mdada wa kazi
 
Lakini mimi si mdogo wako wa mwisho mtoto wa marehemu mimi jaman 😭😭 najuta kuzaliwa last born huwez kwenda kumfokea boss wak ili anipe nafasi
πŸ˜… basi nitakupa deal la kuchukua sampuli za Zege, Nondo na Kokoto ili uwe unapeleka pale Tanroads kupima.

Najua hii hautashindwa
 
Msaidie dogo aache kulala lala sitting room na kuangalia katuni na mdada wa kazi
Bora umeliona mpaka leo dada wa kazi kanifokea et kisa nilikuwa nachukua chai ikamwagika kidogontu jikoni kanifokea sana na andazii kanipa moja badala ya mawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…