Selfika na JF: Snap it. Show it

Babu umekuja mjini bila taarifa
 
Nilipiga simu yako ikawa haipatikani, nikahisi itakuwa ilitumbukia kwenye Maji Kidimbwi Beach ⛱️ πŸ˜†

Mwezi ujao nitakuja tena Mkuu, bado nafatilia pension yangu huko πŸ€—
Uliikosea
Namba ww maana mafao yako yakupagawisha ila si utanigawai m4 au utanichinja
 
Uliikosea
Namba ww maana mafao yako yakupagawisha ila si utanigawai m4 au utanichinja
Huenda nilikosea, ila next time nitakucheki mapema tu nikifika.

Kuhusu hilo la pension usijali, nitakupa mtaji uuzalishe mara mbili ( Rejea nyimbo ya Kekundu by AIC Makongoro πŸ€ͺ)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…