Hats off to J & M...Tunakwenda mwendo wa Clarks, Bally na Johnston & Murphy.
Kuanzia mabuti mpaka vitu presidential.
Tunakwenda mwendo wa Clarks, Bally na Johnston & Murphy.
Kuanzia mabuti mpaka vitu presidential.
We ndio umemfunza hiyo tabia mbaya?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]tit for tat yoo
Kwakweli.Sawa nawaona vyenye mnapambana chini kwa chini na siyo juu na chini
Nope,, ila wajua vyenye wanawake tunawahi kukuwa kiakili na kimaumbile kuliko wanaume..
Nitakualika nyingne yaani .
Ni harusi ya kisabato , so pombe inaweza isiwepo kabisa ukumbi mzima
Yeah, ndiyo trend siku hizi, hata hili buti lina hiyo feel.Hats off to J & M...
Ile kiatu yao ukivaa iko very comfy ndani, nilikuwa na pair moja hivi wakati fulani ni kama umevaa sneakers
Kwamimi hapo nnamvuta mhudumu ananiletea maji makali kwenye glass kama hayaView attachment 1269494
Doh...
Nimeona hizo miàn hapo, zimenikumbusha 热干面 (rè gān miàn), zile noodles hatari tupu hasa wakati wa winter kali...
Mmh pole Alu, ni kisu ama kiwembe? Nenda hospital upate sindano"tetanus"Heka heka na vibaka uswahilini ,nashukuru nimeondoka na pointi tatu muhimu,[emoji119][emoji119][emoji119]View attachment 1269274
Kisu mkuu,nimeshachoma tetenus.Mmh pole Alu, ni kisu ama kiwembe? Nenda hospital upate sindano"tetanus"
Hayo ndo maneno.Ni harusi ya kisabato , so pombe inaweza isiwepo kabisa ukumbi mzima
Pole sana, sorry ulikua unapambana nao/naye? Yan wanakera sana, kuharibiana mood tu.Kisu mkuu,nimeshachoma tetenus.
Yeah nakupata kwa sauti kubwa sana. Hiyo ni fact. And i once dated a woman who is older than me but fortunately we never lasted due to age differences. Pia Boss wangu somewhere ni agemate lakini she looks older n wiser than me
Kimaumbile sawa, kiakili not real (niulize siku nyingine why)
Walikuwa wanne,nilikuwa napambana nao watatu wakakimbia,huyo mmoja nilimbana chini,akatoa kisu akanichimba mguu,nilikuwa naelekea kwenye sherehe,safari ikafa,nikaenda polisi (PF3), kisha hospitali.Pole sana, sorry ulikua unapambana nao/naye? Yan wanakera sana, kuharibiana mood tu.
Nope,, ila wajua vyenye wanawake tunawahi kukuwa kiakili na kimaumbile kuliko wanaume..