Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 12,522
- 35,701
Shuka kwenye Gari
Uje uzame shauri yako babu wa mchongo
hehehehe sema nyie wahahili nisijichoshe .Sina kaka ila kaka angu wa hiyari ni [mention]Ntiluseswa [/mention] nakupa namba yake
Nope
Wale mkuu ambao wanawasumbua wakina WigeChura fake au Chura wa Kihansi Mkuu?![]()
hehehehe sema nyie wahahili nisijichoshe .
Wanasema

Huyu achukuliwe hatuaaaa za kisheria.Wanasema
Ame divorce na mkewe
Kwenye suala la kugawana Mali
Hana hata mia
Kila kitu kimeandikwa jina la mama yake
Hadi kitanda alichokuwa akilala na mkewe![]()
Kufanya nini huko .Njoo lodge basi
hahahahahahahaha niunganishe na kaka yako , tuwe ndugu
mbinu za ki russia hzNjoo lodge basi
kanifurahisha sana jamaaWanasema
Ame divorce na mkewe
Kwenye suala la kugawana Mali
Hana hata mia
Kila kitu kimeandikwa jina la mama yake
Hadi kitanda alichokuwa akilala na mkewe![]()
Ni ubinafsi wa kiwango cha juu sana.kanifurahisha sana jamaa
Mna mpango wa kubadili baadhi ya vitu,jamaa katoa somo
wanazingua sana,we acha tu
hahaha mambohahahahaha
poa ,hujambohahaha mambo
Nimeona vijana wamefurahia saana. Hii inaonesha wengi tunaishi na watu ambao either hatuwaamini au hatuwapendi Kwa dhati.wanazingua sana,we acha tu
sijambo vipi wewe ?poa ,hujambo