Selfika na JF: Snap it. Show it

Chitenge sio[emoji1787]

Na vipodozi vya Kongo

Usisahau kumbebea

Ili akianza kutumia

Juu awe fanta

Chini anakuwa pepsi
Hahaha.........nakumbuka miaka ile ya 2004 ilikuwa kama trending ya Wadada wengi kutumia Mkorogo, ila nowadays wamehamia kwenye Chura 😜

Mwanaume ukiwa na macho kama ya Babu yenu hapa hupati shida kugeuza shingo πŸ˜œπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Mkuu unajua namna ya kuyajua org na fekero??

Naomba tips

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…