Mguuni,nilimuangusha kwa judo,akawa na kisu kumbeakanichimba nacho hapo,nikamuachia akakimbia,ndie aliyebaki wenzake walitangulia kukimbia baada ya kuona mimi sio mtu poa.
Unapewa nafasi adhimu ya kuwasilisha hotuba tena mbele ya wasomi na cha kushangaza zaidi na wewe umetunukiwa shahada ya heshima, Badala ya kuangusha nondo zitakazoacha historia vichwani mwao na nchini we unaenda kuongea kama upo maskani na wahuni wenzako. H