Yani kwa urembo ni A class, sijaona wa aina yako bado.. Your such a darling![emoji7][emoji7][emoji7]
Deal!!!
Rest assured mama....Amini kwamba! Usisahau kuni Carbon Copy ukipandisha snap yako beby boo.😍😍😍[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weeeee hunikamati ng'oo
Okay so when do we end the two weeks starting from today??
Hahah...
Vitanda vibovu vilikopa tu jina toka kwa vitanda halisi vya teremka tukaze, vile vitanda vinasukwa na kamba za ukili almaarufu sana mikoa ya pwani mwa TZ haswa Tanga na Pwani...
Juu yake watandika manyasi/makuti then waweka mswala/busati la kienyeji/mkeka/jamvi, ndio vyawa kama godoro...
Aone dogo Atoto
Rest assured mama....Amini kwamba! Usisahau kuni Carbon Copy ukipandisha snap yako beby boo.[emoji7][emoji7][emoji7]
Naziona ndefuuu jmn, why not make it 1 chuchuchu[emoji7][emoji7][emoji7]??? Only 7 days ka Craig David!?
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]duuh uko na history kubwa kaka
Acha kujimwambafai
Mambo ya Negotiation skills beby, huwezi kuleta ubabe kabla hujapewa mkataba wa kazi...Unaingizwa kwa payroll ndio unaanza story za mshahara mdogo 🤣🤣🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa ulivyojibu "deal" kwa kujiamini?? Tena hapo nimekuonea huruma tu maana nilitaka nifanye mwezi kabisa!!
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]wewe tena,, siwezi kukusahau my baby boo..
Mambo ya Negotiation skills beby, huwezi kuleta ubabe kabla hujapewa mkataba wa kazi...Unaingizwa kwa payroll ndio unaanza story za mshahara mdogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Thauwaa mtt mtam[emoji39][emoji7][emoji7][emoji7]
🤣🤣🤣🤣🤣 mambo ya kisomi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haki nimecheka hadi nimepaliwa mie
Oohh nimeshavijua kumbe ndiyo kama hiki??
HahahahahahaNjoo pm basi hahaha
Hahahahahaha
Nasema hiviii acha kabisaa kujimwambafai huku jeiefuu hebuu