National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Kwakoo tenaaa, sina neno.. unanijuliaaa haswaaaaa ππππIiiiiiiiigggggggweeeeeehhhh!! Kweli mjomba angu mdhunguu π
ππItabidi nifike nyumbani kabisaa kuchukua Baraka za kakaBasi uwe wanisalimia kaka yako hata nyumbani nina urithi wako ππ
Niliwamiss pia Nafurahi kuwaona tena mkiendelea kuselfikaπ₯°Sio kwa kuadimika huko mzunguu wetu tumekumiss mnoooππ!!!
Hallelujah π
Huyo wa chini imempendeza πView attachment 2574371
View attachment 2574373
Alotengeneza hiz kofia hivi watu mnawezaje kulala mmebana vichwa? Hamtaki hewa ipite kichwani [emoji23][emoji23]
πππHuyo wa chini imempendeza π
Nilkuwa nimelala kifudi fudi toka saa mmoja! Kuna sehemu nilifakamia ftari!Relaaaaaxxxxxx Chino akeee Tonniah ako hapaa ameturiaaa turiiiiiπ€©π€©! In Bantu Lady voice!!
Nakusubiriaa umalize kufturu twenzeee!!π€π
Nakubali mwamba
Wananchi mkabidhiwe kombe lenu tu lashirikisho mapema. Msimu huu wenu banaWananchi tupo liveππ
View attachment 2574132
bora kofia za matundu , usiku na joto juuView attachment 2574371
View attachment 2574373
Alotengeneza hiz kofia hivi watu mnawezaje kulala mmebana vichwa? Hamtaki hewa ipite kichwani [emoji23][emoji23]
Yaan siwez lala na kitu kichwan nataka niwe huru tu hapa kichwa kinaniuma hata kubana nywele sitakibora kofia za matundu , usiku na joto juu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2574371
View attachment 2574373
Alotengeneza hiz kofia hivi watu mnawezaje kulala mmebana vichwa? Hamtaki hewa ipite kichwani [emoji23][emoji23]
Hizi nywele hazikusumbui usiku?Yaan siwez lala na kitu kichwan nataka niwe huru tu hapa kichwa kinaniuma hata kubana nywele sitaki
Uondoe hiyo saa mama mchungaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Zina Raha yakeView attachment 2574585
Kichwa kinaniumaHizi nywele hazikusumbui usiku?
Selfka mkuuKichwa kinaniuma
Huwa nabana na tu na banio nalala kichwa kikiniuma sibani
Hazinisumbui sio ndefu