Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,897
- 67,394
Ww si umezificha izo pesaTafuta hela utapata mwili wowote unaoutaka
ππππ€Έπ»π€Έπ»π€Έπ»π€Έπ»!! Kama naisikia vile sauti yako traaaamuuuu sauti matraaatraaaaa mjombaa sauti ya kumtoa Tonniah pangoni auweeeehπ!Leo nikamuimbie aunt wangu Antonnia kama Vanboy Vanboy anavyotoa sauti matata ..View attachment 2573784
Aririririiirih hizi sifa zotree zanguu nyueeeeππππ!!Umeumbika acha nikumwagie sifa
Waruke sarakasi na mateke
Uzuri wako hawatofika
C.c shangazi wangu wa ukweli damu moja dna moja Antonnia
Relaaaaaxxxxxx Chino akeee Tonniah ako hapaa ameturiaaa turiiiiiπ€©π€©! In Bantu Lady voice!!Una cheza na moyo wa Chino Sana!
Utanipa magonjwa ya moyo mama!
Sio kwa kuadimika huko mzunguu wetu tumekumiss mnoooππ!!!Sijapotea kabisaa nipo Kaka napitaga kimya kimya tuu nikipata chanceπ
JF nipo sana siwezi potea mazima napenda sana kujifunza/kusoma maoni ya watu wa humu
Sawa bwana.Maana Kama kiuno nyingu kimeonekana; mambo yao sumbai na National Anthem
Kuna mzungu mwengine zaidi ya Bantu LadySio kwa kuadimika huko mzunguu wetu tumekumiss mnooo[emoji8][emoji8]!!!
πππ we ndio pacha wangu.. damuuu moja DNA ile ile yaniπ π π π πππ€π€
Mmh[emoji3064][emoji848][emoji25]View attachment 2573940
Eendiwoooo mjomba mwingine akasomee!!πππ we ndio pacha wangu.. damuuu moja DNA ile ile yani
Nili ku bless pacha wangu
aunt wangu usijale badae utauona, wakati tunaenda beach kupata upepo wa ziiiiwaa vikitoriaaa... πππ na kila utachotaka kinginee nitakupaaaEendiwoooo mjomba mwingine akasomee!!
lol nimeikosa hio jamani basi utanibless hata badae nimemissijee kuona uchebe mjomba;!
Iiiiiiiiigggggggweeeeeehhhh!! Kweli mjomba angu mdhunguu πaunt wangu usijale badae utauona, wakati tunaenda beach kupata upepo wa ziiiiwaa vikitoriaaa... πππ na kila utachotaka kinginee nitakupaaa