Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,913
- 67,404
Sina pakuweka hapo ππUchoyo huo, au umepewa tu lift so huwezi kunibeba na mie
Umemshika pabaya na anavyopenda hela huyo ukute tayari rambirambi yake ameshaikopeaRambirambi onlyππ
Hahahahaa kumbe unamjua vemaUmemshika pabaya na anavyopenda hela huyo ukute tayari rambirambi yake ameshaikopea
Izo nimempa Jack Palladino ili anunue mewani ya machoRambirambi onlyππ
Best iko siku utakula raha sanaNishamwambia
Ila daah sema tu bado namuhitaji best yangu so namuombea maisha marefu
Umejuaje mzee bado yako ww sijaionaUmemshika pabaya na anavyopenda hela huyo ukute tayari rambirambi yake ameshaikopea
Mguu uhu umetinga wapi sasaivi πππ
WPi hapa π
Dakar kiongoziWPi hapa π
Maeneo flani hiviπ€£π€£π€£Mguu uhu umetinga wapi sasaivi πππ
o dar hapa hapa? πDakar kiongozi
Punguza kuzulula wewe utakuja jikwaa na miguu yako ilivyo midogo et una vaa kiati size 27πππMaeneo flani hiviπ€£π€£π€£
Ameen to that best akeππBest iko siku utakula raha sana
34 hiyoπ€£π€£π€£ nimeificha tuPunguza kuzulula wewe utakuja jikwaa na miguu yako ilivyo midogo et una vaa kiati size 27πππ
Bado una valiana na Lenie mimi 4234 hiyoπ€£π€£π€£ nimeificha tu
Jamani kumbe nimepitwa34 hiyoπ€£π€£π€£ nimeificha tu
Mkuu naona unakunywa juice![emoji28]