Jack Palladino
JF-Expert Member
- Feb 24, 2018
- 7,245
- 22,555
Fanya kumpitia umtoe pale samaki samaki mcityπππ huyo lenie yey atachukua ndala zangu za chooni tu ili aogee
Tangu miwani yangu ya macho ivunjike wiki iliyopita nimekuwa napata shida sana kuingia JF.Ndriiiooo ndrrriiioooo!! Bantu Lady hongeraa naona Yaliyomo yamooooo ...pozi kama la grandpa Grahams!!
Nusu nusu ππWee mbona nishaanza kuzipangia budget π
Uwiii kama itokee na kama isitokee vileπ€£
Vibaya ivyoWee mbona nishaanza kuzipangia budget π
Uwiii kama itokee na kama isitokee vileπ€£
Si ndio πNusu nusu ππ
Au nikuachie beseni la vyombi aha hapana bhna basi utachukua kopo la kuogea sawaπππNyoooooπ€£π€£
Huyu simuwezi anakunywa savana wakati mimi pale naenda kunywa maji ya dasani tu mpka saa saba usikuFanya kumpitia umtoe pale samaki samaki mcity
Kopo la kuogea ataliuliza ukweli wote juu yako shauri yako.. Maana hilo kopo lina siri nyingi na nzito sana juu yako π€£π€£Au nikuachie beseni la vyombi aha hapana bhna basi utachukua kopo la kuogea sawaπππ
Mh siti zimejaa bhna best
Kopo la nini na Jack Palladino kaniwekea jakuziAu nikuachie beseni la vyombi aha hapana bhna basi utachukua kopo la kuogea sawaπππ
Acha woga kijanaHuyu simuwezi anakunywa savana wakati mimi pale naenda kunywa maji ya dasani tu mpka saa saba usiku
Uchoyo huo, au umepewa tu lift so huwezi kunibeba na mieMh siti zimejaa bhna best
π€£π€£Kopo la kuogea ataliuliza ukweli wote juu yako shauri yako.. Maana hilo kopo lina siri nyingi na nzito sana juu yako π€£π€£
Basi ww unashauri apewe nini?Kopo la kuogea ataliuliza ukweli wote juu yako shauri yako.. Maana hilo kopo lina siri nyingi na nzito sana juu yako π€£π€£
Mbona kazi anayo mwaka huuπ€£π€£
Na kila kitu kopo litakachosema nitakuja kuweka hapa
πππ sasa ww unataka nini? Au chupa ya savan
Uyu anamapiza caton peke yake savana moja 7000 atakunywa ngapi atosheke abakinnyumban tu ππAcha woga kijana
Rambirambi onlyπππππ sasa ww unataka nini? Au chupa ya savan