Wewe katoto ni kachizi unajua 😄😄😄😄🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 vile vitoto namba E bana. Sisi mashangazi tumefika hapa tumekwepa mengi sana dear. Usichana tuliutumia vizuri.
Thank you dear Nina upweke sana Hii birthday nimekosa nguvu ya kusherehekea birthday Leo nimeshare mwez na Kifo Cha babaangu but ndo Ivo nishacancel na oda ya keki nipo hapa nashangaa shangaa
Wewe katoto ni kachizi unajua 😄😄😄😄🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 vile vitoto namba E bana. Sisi mashangazi tumefika hapa tumekwepa mengi sana dear. Usichana tuliutumia vizuri.
Hizo hekaheka sijawahi maishani mwangu, navisikia tu na kuona kwenye mitandao. Sijawahi waza kutumia. Naamini Mungu alivyoumba alijua ibaki hivyo. Na ni motroooooo 😄😄😄🤸♀️🤸♀️🤸♀️🤸♀️