Selfika na JF: Snap it. Show it

Ahahaha eti dingi hana uwezo,, hilo neno njumu huwa nalisikia tu mtaani na ninadhani hata baadhi ya wakenya pia huwa wanalitumia.. ni sheng ya nai hiyo
wakati huo kulikuwa na viatu vikiitwa DH a.k.a Dingi Hana uwezo na vingine vilikuwa vyaitwa njumu za Maradona...

Sasa hiyo neno umetaja ndio imenisafirisha back in time hadi wakati huo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…