Nipo babe!..nimeacha kuchepuka๐
Hongera kwa kuokoka babe wangu kipenziNipo babe!..nimeacha kuchepuka[emoji4]
Karibu mwana mpotevu cocasticKho kho kho kho baada futari
Asante sana babe!..na wewe utulie๐
Nimetulia kama maji mtungini my love [emoji8]Asante sana babe!..na wewe utulie[emoji4]
Uzee huwa mnaupenda sana[emoji1].Kama last born wangu ana huo umri, unaweza kupata picha umri nilionao Babu yenu [emoji2957]
๐๐Uzee mzuri hata mm napenda kuwa lishangazi basi tu ujana hekaheka nyingi๐๐๐Uzee huwa mnaupenda sana[emoji1].
[emoji849][emoji849][emoji3][emoji3]Uzee mzuri hata mm napenda kuwa lishangazi basi tu ujana hekaheka nyingi[emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐Uzee mzuri hata mm napenda kuwa lishangazi basi tu ujana hekaheka nyingi๐๐๐
๐ ๐ ๐ ๐Uzee huwa mnaupenda sana[emoji1].
Umetandikwa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji119]
Ndo maana nikasema natamani kwakuwa sinahela๐๐๐Kuwa lishangazi si mpaka uwe vizuri mfukoni sasa, bila hivyo vijana watakuita "Msimbe"
Vijana hawana adabu sikuhizi, ohoo๐๐๐
๐๐Sijakataa jamaniKuwa Li mshangazi
Sio kuvaa dera na wala
Sio kutingisha tako
Ni kuwa na hela
Yaani hela
Wacha weeThrowing-Back Tuesday View attachment 2568690