Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimerudi leo nikaanza kupalilia. Naandaa sehemu ya kupanda matunda shambani, mvua hizi ndiyo za kupanda vitu...View attachment 2563034
Weee mwanamkeee aririririiirih 😍😍😍 Hakiii kuna watu wanakojolea pazuri nyieeeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜πŸ˜We mkareee kuanzia utosini mpaka unyayoniiii😍😍😍😍
 
Weee mwanamkeee aririririiirih 😍😍😍 Hakiii kuna watu wanakojolea pazuri nyieeeπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜πŸ˜We mkareee kuanzia utosini mpaka unyayoniiii😍😍😍😍
Nitakuchapa wewe katoto, tena πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hamna kitu dear na uzee huu nasubiria wajukuu tu 😁😁😁😁😁
 
Mfyuu kwauzee gani?? Wazeee hutuoni hapa πŸ™‡πŸ™‡πŸ™‡πŸ˜‚πŸ˜‚???

Mtoto mkareeeeee Kapachino hoiiiπŸ’‹πŸ˜
Yaani na miaka inavyokimbia late 80's na 90's siyo tena watoto πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sasa tuna 2000's ndiyo namba E πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
 
Hata mbuyu ulianza kama mchichaa nawao watakua bibi tyuuuπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!! kwa sauti ya cocaa😊
 
Vya kale dhahabu!

Vile vibibi vya hollwoody huwa vinaamsha amasha kweli kuliko hata teenegers kwenye ile industry! Mpaka huwa nasema hiki nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…