Selfika na JF: Snap it. Show it

Huwa tu nasuka na kuweka stimin mara moja moja,naziwekea dawa ila sio mtunzaji vile nipo mvivu
Watuambie dawa gani nzuri,mafuta yanayojaza nywele
Basi itakuwa asili yako pia ni nywele ndefu.

Mimi zangu hazina dawa.
Kuchana tu zinauma hatari.
 
Naangalia kosa moja
Mimi nimeweka ITV
Leo yupo Farhia,huwa napenda anavyo introduce taarifa ya habari.

Huyu dada ndiye anayenifanya nipende kuangalia taarifa ya habari.

Kosa Moja ananichekesha jπŸ˜‚
 
Huwa tu nasuka na kuweka stimin mara moja moja,naziwekea dawa ila sio mtunzaji vile nipo mvivu
Watuambie dawa gani nzuri,mafuta yanayojaza nywele
dawa nzuri za box hasa mega na olive , wanasema ufanye pia deep conditioning ,mafuta nahisi ni wewe tu kuamua japo ya maji huwa mazuri for relaxed hair ,
 
Mimi nimeweka ITV
Leo yupo Farhia,huwa napenda anavyo introduce taarifa ya habari.

Huyu dada ndiye anayenifanya nipende kuangalia taarifa ya habari.

Kosa Moja ananichekesha jπŸ˜‚
Hahaha jay anachekesha jamani candy kaenda kuishi kwa Jay na naa yupo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
dawa nzuri za box hasa mega na olive , wanasema ufanye pia deep conditioning ,mafuta nahisi ni wewe tu kuamua japo ya maji huwa mazuri for relaxed hair ,

Olive nilikuwa natumia ila inanifanya nywele zinasinyaa zinakuwa chache nadhan hiyo inawafaa wenye nywele nyingii sanaa zimejaa
 
Hahaha jay anachekesha jamani candy kaenda kuishi kwa Jay na naa yupo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ulimuona muda ule wamefumaniwa akabadili gia angani🀣🀣
Akaanza kumfokea Naa.

Eti unapanda bodaboda sisi tumetoa hela nyingi wewe unajirisk tu kupanda boda
Ulienda nyumbani nani alikupa ruhusa?

Anaondoka,karafiki kake Naa kanamwambia bye Shem darling
Anafuatisha eti bye Shem darling
Yaani nilicheka hiki kipandeπŸ˜‚

Na Cha Jana anasema Caty afungue label yake ya wazee
 
Olive nilikuwa natumia ila inanifanya nywele zinasinyaa zinakuwa chache nadhan hiyo inawafaa wenye nywele nyingii sanaa zimejaa
pole mwaya , olive ilinifanya nikate nywele 2018 , nimeipaka baadae nikarudi za kopo , nywele huku chini zikakatika zote . .. So watumia dawa ipi sasa
 
🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸🀸
 
Hhaha ana maneno leo anamuambia candy Yaan kubeba mimba tu unataka kunimiliki ,usijetaka nikafanya kitu kibaya kesho magazeti yakaandika mjazito auawa,sijui anyongwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
pole mwaya , olive ilinifanya nikate nywele 2018 , nimeipaka baadae nikarudi za kopo , nywele huku chini zikakatika zote . .. So watumia dawa ipi sasa

Napaka movit niliambiwa kuwa inajza nywele ila inabidi uoshe haraka sana inauma balaa
 
Hhaha ana maneno leo anamuambia candy Yaan kubeba mimba tu unataka kunimiliki ,usijetaka nikafanya kitu kibaya kesho magazeti yakaandika mjazito auawa,sijui anyongwa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ntaangalia marudioπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Utawekwa wapi?inabidi kuitoa haraka usizidishe
najipaka mwenyewe , naji blow dry hapo kuliko kuunguzwa hadi sikio . Ukimuambia nioshe hataki . Mimi ndo natoa hela halafu yeye anajitia kuongea , bado haijakolea
 
Ukienda salon nzuri wanakutengeneza vizuri na unamuambia unavyotaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…