Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Safiii sana aunt ππ.. usiku naenda Tunza kwa bwana mpwayungu village niliambia leo pananoga
Haahahah dah nikate ticket ya bus chaap....Mkuu unapotea sanaa.... lokesheni hiyo hapo mkuu [emoji28][emoji28]View attachment 2557833
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
π π π ukifika tu paaap weekend inaendeleaHaahahah dah nikate ticket ya bus chaap....
Katarama paka shybush
Awwwwπππππ
Pazuri niliona picha Ankol. Nasubiria sumbai anipe Vacay nitakuja naye huko π π π π π πSafiii sana aunt ππ.. usiku naenda Tunza kwa bwana mpwayungu village niliambia leo pananoga
πππππ
Jamani jamani π
Njema mamiiii.Forever and always Sumbai za kupotea??
Nipoo mkuu naona tunapishana labda!!Njema mamiiii.
Huu ubize dah...
Anyway
Your soo missed Antonia.
π π π juzi nilienda usiku kulikuwa na baridi na hakukuwa na watuuu.. hata mdogo wangu Lovelovie hakuja niunga mkono .. karibuni sana na sumbai sema nini, chukueni ndege ya saa moja mnafika huki pamenogaPazuri niliona picha Ankol. Nasubiria sumbai anipe Vacay nitakuja naye huko π π π π π π
πππ njoo tulishane asaaaπππππ
Jamani jamani π
Mara ya mwisho ulitublesss liniNipoo mkuu naona tunapishana labda!!
Miss you too rafiki!!
Thank you ππππNaaam
I will take you there.
Shinyanga is a beautiful place
Usitoke hapo Nakuja mjombaπππ njoo tulishane asaaa