Mimi nikichoka sana najikuta nimegeuka
Pona yangu labda nilalie ubavu ila Kwa tumbo
Sasa huwa nachoka sana kulalia tumbo.
Mungu ni mwema, niko poa.
Jana mida ile usiku nilianza kushona Shona doormat
Ila fundi niliyempa anishonee mfuko kwa pembeni ni kiazi sana.
Itabidi niushone tena na mkono maana unafumuka.