Hujaona nipo chini ya seven up
Saba ipo juu😂
Utaweka picha au niendelee?
Nyie ni makubwa jinga ya mwezi wote huu.
Hawa wanyama acha kabisaSVR [emoji91]View attachment 2550650
🐵🐵🐵🐵 aunt wangu badae tunaenda wapiKabisa mkuu mjomba National Anthem mtu mkubwa sana mjini Wee mcheki tu umepata konnekshen mbona 😊
Hawa wanyama acha kabisaSVR [emoji91]View attachment 2550650
Nakusikiliza wewe mfalme Popote utapoona panafaa!🐵🐵🐵🐵 aunt wangu badae tunaenda wapi
Isiwe sana sasa Tinsley ,nilikuwa naonewa sana zamani . Nikajipiza mtu hata nionea tena , too bad nimekuwa affected ukinikosea , naachana na wewe mazima .
Wewe endelea kubania picha yakoNimekuona na "saba juu" yako, 😂
Ndo nini sasa kutukazia vile afu mkaenda kuwapa wanaoshika nafasi ya mkiani?
Weka yako basi niweke pia, ni juzi tu tumetoka kaudhimisha siku ya mwanamke duniani, nimeamua kukupa kipaumbele Saint Anne 😊
Sema kuna huyu mnyama mkali sana sana ila bei yake ndio haishukagi kwa poromokooo😅😅Hawa wanyama acha kabisa
Sawa malkia 😅😅😅Nakusikiliza wewe mfalme Popote utapoona panafaa!
Lift ? Inakuwaje dogo unaomba liftWadada tuwe makini na lifti , leo nimepanda lifti huku naogopa ..
upo sahihi , mimi nachofanya siwi karibu yake tena , usiniumize tena .. Kama kosa la kawaida ts okayIsiwe sana sasa Tinsley ,
Kuna wengine hukosea kwa bahati mbaya na bado wanakuwa na hitaji la kuendelea kuwa karibu na wewe, kuwapa nafasi baada ya kutafakari inaweza kuwa uamuzi mzuri, badala ya kuachana nao mazima.
Kwa wale wanaokuonea, ninakuunga mkono, kuachana nao mazima.
Sasa wee unataka kidume anakuoelekea moto dakika 47...mbususu sii itawaka moto na kufura🤣🤣🤣🤣🤣Uuwawe tu kama ndo ivo 😂😂😂alisema kapeace
😂😂Sasa wee unataka kidume anakuoelekea moto dakika 47...mbususu sii itawaka moto na kufura🤣🤣🤣🤣🤣
Mie tena mzuri kabisa nakuruhusu uende ata kwa ex wako ukapige show ya bby come back
sijaomba , nimepewa sema uvivu wa kutembeaLift ? Inakuwaje dogo unaomba lift
upo sahihi , mimi nachofanya siwi karibu yake tena , usiniumize tena .. Kama kosa la kawaida ts okay
Hatari, acha uvivusijaomba , nimepewa sema uvivu wa kutembea
Mdada una roho ngumu wewe, kwahiyo hubembelezeki sio? 😂Wewe endelea kubania picha yako
Mimi naendelea nilipoishia
Mechi ya Juzi siyo shida zangu 😂
Sh ngapi hii aunt nikimbie ela za vicoba nikanunue😂😂Sema kuna huyu mnyama mkali sana sana ila bei yake ndio haishukagi kwa poromokooo😅😅
View attachment 2551004