Selfika na JF: Snap it. Show it

Sure humu watu wanadhani ndo maisha yetu na mtaani...watu hawako real..mimi nawaambia ni bingwa wa kuandika tuu ila kuongea mimi sio muongeaji ni msikilizaji...
 
Kabisa kunawatu wameumbwa kunawatu wanahaiba zao bantulady na antonnia waume zenu wanamacho balaa yani wanavyombo hasa kalpana nasubir nithibitishe ndugu mjumbe
 
Basi ww ni wale watu ma dis minder
😊😊😊 upo vizuri inaonekana ukipewa herufi moja unapata majibu hapo hapo.. huwa sina mazoe au ongea ongea na watu nipo cool mda mwingi.. ndio maana nakuja kuchangamka hukuu na kuongela nyuma ga keyboard
 
Wengi tupo hivyo..JF inatukutanisha na marafiki annonymus...basi maisha yanendelea kusonga..unaandika na kufurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…