Bantu Lady huyu mdigo kanileta mpaka Chamanzi kutazama gemu wakati hata gemu zangu nazitazamiaga banda umiza dah atafanya niuze yumba yangu ya urithi ya mburahati wacha nienjoy soka kidogo. Mnyama mkali
Antonnia baadae kiasi best, hope macho yatafurahi Tena
National Anthem umetisha mzee