Jr ako poa sana si dadazake wameenda twisheni nae kaenda naoooo sijui ndio kuwalinda kama wamemdanganya maza wasitoboeeππππ!
Ako vyede sana Jr akoo anakusamilia tu
Hapaa tunapanga mstarii tunaenda kwa stailii mojaaa ikikolea kila mmoja kivyakee
Hapa Bantu Lady pembeni Kapachino Poor Brain Kiduku Mpapaso National Anthemnamie mwisho
Deeejaayy waletreeeeeeπππππ
Hapaa tunapanga mstarii tunaenda kwa stailii mojaaa ikikolea kila mmoja kivyakee
Hapa Bantu Lady pembeni Kapachino Poor Brain Kiduku Mpapaso National Anthemnamie mwisho
Deeejaayy waletreeeeeeπππππ