Hehehe na kwenye simu je π€£π€£Kule Moderator wanaona hapa hawaoni πββοΈπββοΈπββοΈ
So don't bring me roses, bring me the truth
Don't buy me diamonds cause that just won't do
Material things I can buy myself if I really want to
I need something special, I need something new
Just give me you
Umebadili line tatizo nilitaka nikufungukie siku ile hupatikanHehehe na kwenye simu je π€£π€£
Kipi exactly dearNifundishe na mmπ
Miyeee treeeinnnnaaahhh πππ hapo umenifikisha mbonaaEmbu tuonyeshe tu mfano tuona kama unajua mjumbe
Namba zangu zile zile aiseeUmebadili line tatizo nilitaka nikufungukie siku ile hupatikan
Kuna siku alipokea mwanaume afu na JF nikapigwa BanNamba zangu zile zile aisee
Sijabadilisha ..
Kizungu hiki si mchezoπKipi exactly dear
Sina nilijualo
Aunt Bantu Lady mshitue aunt Antonnia , naenda kuvuna shamba mala moja π π π View attachment 2547201
Auwwwwwhhhhhh π,umetrokelezeajeeeee mjomba wangu ππππ!Aunt Bantu Lady mshitue aunt Antonnia , naenda kuvuna shamba mala moja π π π View attachment 2547201
Niko dar yenu hii ndani hakukaliki sisi wengine feni tuna haleji nazo kwa hio jasho linatoka tuPole aisee wapi huko kuna joto hivyo. Leo nilipo hali ya hewa, ni nzuri sana mtu huitaji AC wala feni. Ingekuwa jana ningekwambia uje ufukweni. Leo napumzisha huu mwili home. Nile na kunywa vizuri kihomehome [emoji6][emoji6][emoji6]
Sijui sana hapo nyimbo tu hii naipenda ..Kizungu hiki si mchezoπ
Wenye vikoti na nywele za hizi kwa kuzama chumvini hawajamboAunt Bantu Lady mshitue aunt Antonnia , naenda kuvuna shamba mala moja π π π View attachment 2547201
Ndugu mjumbe hapohapo uoneee navojiachiaaaaππNiko dar yenu hii ndani hakukaliki sisi wengine feni tuna haleji nazo kwa hio jasho linatoka tu
Hamna mwanaume huyo ..Kuna siku alipokea mwanaume afu na JF nikapigwa Ban
Tuonyeshe mfano basi taarabu inavyochezwa ndugu mjumbe AntonniaMiyeee treeeinnnnaaahhh [emoji108][emoji108][emoji108] hapo umenifikisha mbonaa
Nije pm unipe pole ππHamna mwanaume huyo ..
Pole Kwa ban aisee