Selfika na JF: Snap it. Show it

Sasa mbona huyo tofauti na uliyempost siku ile na wewe pia ni tofauti na uliyejipost siku zile
Nikumbushe Siku gan
Humu huwa napost picha nyng sn za kwangu na zamamaJ, labda Kama Ni mgen au unamfananisha mamaJ[emoji4]
 
Kabisa nyimbo zake nzuri
Hii siku haiishi bila ile ya maneno ya mkosaji
Aloo boonge ya wimbo.

"ulisema wa Nini
Mwenzio ameniwezesha niwe na mvuto
Wangu mwandani mapenzi yake moto moto twaheshimiana sie

Nimempata muungwana anayenijali mie
[emoji91][emoji91][emoji91]
Mama anachana verse tu[emoji23]
 
Sema Hawa wazenji sijui ndio ubahili
Sijui Hawana hela.


Ile ya Dar watu walifanya kufuru
Pesa zinatiririka kama mvua

Kuna dada alikuwa anazimwaga..
Kila round na kwa wote watatu..
Tena anamimina hela ten ten kama zote[emoji119]
 
Khadija kopa ni noma[emoji23][emoji23][emoji23]
Bila kushuka jukwaan haelew show [emoji23][emoji23][emoji23]
Ameenda hukohuko chini kufata hela[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm linanichekesha linavyojitupa na mwili wake[emoji1787][emoji1787]
 
Mi Ni mwwupe, mamaJ Ni maj ya mweupe kias ila nmemzd kdg. Labda mwanga na camera. mamaJ Ni mwembamba ila sio kimbaumbau, nyama nyama zipo[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…