Usafi pia hauzungatiwi
Imagine unapita alfajiri,unamkuta mtu anafanya usafi,
Lile kabati la kioo la kuweka vitafunwa,amelisafisha,anafuta na nguo khanga aliyoivaa.
Ptuuu...
Mm vitafunwa huwa nipo selective sana kwa kununua..
Nanunua kwa mtu mmoja tu, tena chapati
Asipopika siku hiyo ndio basi tena.