Kesho πAnother playlist miss dj
Suka twende kilioni ndugu mjumbesophy27 Bantu Lady minywele yangu imefumukajee hapa naombeni msuko mzuri wa kiticha usio na mbwembwe nyingii wapendwa! Japo hizi zimekaa kinonaa almost 3 months!!
Nywele Zangu sijaweka dawa!
Sawasawa ndugu mjumbe hauna ka Sampo ka twende kilioni hapoo utupie nionepoπππ???Suka twende kilioni ndugu mjumbe
Iwe ya utulivu indeedKesho [emoji846]
Hupendi makelele??Iwe ya utulivu indeed
mnyama mkaliSawasawa ndugu mjumbe hauna ka Sampo ka twende kilioni hapoo utupie nionepoπππ???
Woooozzzzaaahhhπ€©π€©!mnyama mkali
Hupendi makelele??
Embu fanya nione mambo mazuri mtoto wa jangwaniWoooozzzzaaahhhπ€©π€©!
Suka selfieCurly pop kama sijakosea
Embu fanya nione mambo mazuri mtoto wa jangwani
Ndio zikoje hizo madam??? Hauna ka picha kake hapo nione??Suka selfie
Ndio zikoje hizo madam??? Hauna ka picha kake hapo nione??
That's good ndugu ndoa tramu bana!!Nimerudi ndugu!
Nilikuwa nalinda ndoa!
Wewe si tulikupa kishkwambi kipya kabisa Antonniakuna za zamani tu nduguuu unajua Kimeo kinazingua kinomaa yani!