Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 45,470
- 95,995
kwakuona vidole tu, yaliyomo yamoπΈπ³πΏView attachment 2539260
Hahaa kumbe ....kwakuona vidole tu, yaliyomo yamo
Auweeeeehhh βοΈβοΈβοΈβοΈπ!! hakika mchana wangu unaisha vizureee!!
Nimeona nimeona mkuu uko vizureeee!!βοΈβοΈβοΈ!!
Moyo wako umenifanya niwe hiviNimeona nimeona mkuu uko vizureeee!!βοΈβοΈβοΈ!!
Santo sana
Moyo wangu mimi kama mimi???π³π³π€π€π€!Moyo wako umenifanya niwe hivi
Umestukaaaa mpaka naogopa. Ndio moyo wako kwa upendo wa kuniita hapa na kupata baraka zakoπMoyo wangu mimi kama mimji???π³π³π€π€π€!
Santo sana asee
Weee nimeogopa kweli uvosema moyo ujueπ!!Umestukaaaa mpaka naogopa. Ndio moyo wako kwa upendo wa kuniita hapa na kupata baraka zakoπ
Nashukuru nimefika sasaWeee nimeogopa kweli uvosema moyo ujueπ!!
Yeah mkuu hapa ni kuselfika kwakwenda mbele!
Karibu sana Selfika mkuu mara moja moja unatubless kama hivi!!
Mbona sijaona na mimi kila siku lazima niwe hapa kuona mambo mazuri. π Yangu iko njiani inakuja muda si mrefuLol kila leo natupia mkuu tena nimekumbuka una deni Langu!! Uliahidi utatubless hadi waleo sijaona π€³ yako ujue fanya wepesi utupie basiii!
hahahaha,huwa tukiangalia vidole tu ,tunajua YaliyomoHahaa kumbe ....
Weee muongo mie natupia kila leo.. hebu tifanyie manuva leo nawewe acha hizooo!Mbona sijaona na mimi kila siku lazima niwe hapa kuona mambo mazuri. π Yangu iko njiani inakuja muda si mrefu
Mkali wa hizi kazi, au siohahahaha,huwa tukiangalia vidole tu ,tunajua Yaliyomo