Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,994
- 48,499
😅😅😅 haya chiefAchana na hivyo vyote kijana.kipenzi ni mmoja tu mtu chake.
Hili ndilo jina ambalo akiniita popote ninajua huyu MC.
Ndio kisaweKisawe?
Sawa asanteKundinyota
Sawa ngoja tuendelee kutafutaKisawe cha KINYONGA siyo "kundinyota"
Angalau neno "KIGEUGEU" linaendana.
Kudinyota = "star constellation" kwa maana ya kwamba ni kundi la nyota zinazoonekana angani kwa pamoja kama kundi moja.
Kisawe ni nini ticha? Sisi wengine tunafahamu masawe tu wa kule Moshi.Za asubhi
Wakali wa kiswahili nisaidien kisawe Cha neno kinyonga?